Ufafanuzi wa nuka katika Kiswahili

nuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa harufu mbaya, agh. kwa sababu ya kuoza.

Matamshi

nuka

/nuka/