Ufafanuzi wa nuktambili katika Kiswahili

nuktambili

nominoPlural nuktambili

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    alama yenye nukta mbili [:] inayotumiwa kuashiria kile kinachofuata ni mfano, orodha au muhtasari wa kile kilichotangulia.

    nuktapacha, koloni

Asili

Kar

Matamshi

nuktambili

/nuktambili/