Ufafanuzi wa nuktamkato katika Kiswahili

nuktamkato

nominoPlural nuktamkato

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    alama yenye nukta na koma [;] inayotumika sehemu za sentensi changamano au vitu vilivyomo katika orodha.

    semikoloni

Asili

Kar

Matamshi

nuktamkato

/nuktamkatɔ/