Ufafanuzi wa numbi katika Kiswahili

numbi

nominoPlural numbi

  • 1

    samaki anayefanana na kolekole lakini mfupi na ana mstari wa buluu mgongoni.

Matamshi

numbi

/numbi/