Ufafanuzi wa nuna katika Kiswahili

nuna

kitenzi elekezi

  • 1

    kaa kimya bila ya kusema baada ya kuudhiwa; onyesha uso usio wa furaha.

    chukia, rea

Matamshi

nuna

/nuna/