Ufafanuzi msingi wa nunge katika Kiswahili

: nunge1nunge2nunge3

nunge1

nomino

 • 1

  kambi ya kukaa wagonjwa wa ukoma.

Matamshi

nunge

/nungɛ/

Ufafanuzi msingi wa nunge katika Kiswahili

: nunge1nunge2nunge3

nunge2

nomino

 • 1

  vidole gutu.

Matamshi

nunge

/nungɛ/

Ufafanuzi msingi wa nunge katika Kiswahili

: nunge1nunge2nunge3

nunge3

nomino

 • 1

  ‘Wamefungwa magoli matatu kwa nunge’
  ziro
  , → sifuri
  , and → bila

Matamshi

nunge

/nungɛ/