Ufafanuzi wa nunua katika Kiswahili

nunua

kitenzi elekezi

  • 1

    toa fedha ili kupata kitu kinachouzwa.

Matamshi

nunua

/nunuwa/