Ufafanuzi wa nunuza katika Kiswahili

nunuza

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha meno ya kwanza ya mtoto mdogo yaote upesi kwa kumfanyia dawa.

Matamshi

nunuza

/nunuza/