Ufafanuzi wa nurisha katika Kiswahili

nurisha, nururisha

kitenzi elekezi

  • 1

    toa mionzi ya mwanga au moto.

  • 2

    fanya iwe na nuru.

    ‘Alikinurisha chumba kizima kwa mwanga wa kandili yake’

Asili

Kar

Matamshi

nurisha

/nuriāˆ«a/