Ufafanuzi wa nusu katika Kiswahili

nusu

nomino

  • 1

    sehemu moja kati ya mbili zilizo sawa na zilizogawanywa kutoka kitu kizima.

Matamshi

nusu

/nusu/