Ufafanuzi wa nusukaputi katika Kiswahili

nusukaputi

nominoPlural nusukaputi

  • 1

    dawa itumiwayo, hasa hospitalini, kumfanya mtu awe katika hali ya kupotewa na fahamu wakati anapopasuliwa ili asihisi maumivu.

Matamshi

nusukaputi

/nusukaputi/