Ufafanuzi msingi wa nyago katika Kiswahili

: nyago1nyago2

nyago1

nominoPlural nyago

 • 1

  miguu.

 • 2

  mapaja.

Matamshi

nyago

/ɲagɔ/

Ufafanuzi msingi wa nyago katika Kiswahili

: nyago1nyago2

nyago2

nominoPlural nyago

 • 1

  hatua za kuendea.

  ‘Humwezi kwa mwendo, nyago zake ni ndefu’

Matamshi

nyago

/ɲagɔ/