Ufafanuzi wa nyakanyaka katika Kiswahili

nyakanyaka

kielezi

  • 1

    neno la kuonyesha hali ya kuchakaa, kuchanikachanika au kusawajika.

    ‘Gari limegongwa nyakanyaka’

Matamshi

nyakanyaka

/ɲakaɲaka/