Ufafanuzi msingi wa nyama katika Kiswahili

: nyama1nyama2

nyama1

nominoPlural nyama

 • 1

  sehemu laini ya mwili wa binadamu au mnyama ambayo ikikatwa hutoka damu.

  ‘Tuna kila aina ya nyama’
  ‘Ya ng’ombe, mbuzi na kima’
  methali ‘Nyama wote wangawako, mkuza pezi ni papa’

Ufafanuzi msingi wa nyama katika Kiswahili

: nyama1nyama2

nyama2

nominoPlural nyama

 • 1

  sehemu laini ya tunda.

Matamshi

nyama

/ɲama/