Ufafanuzi wa nyamaa katika Kiswahili

nyamaa

kitenzi sielekezi~za

 • 1

  kaa kimya; acha kusema.

  tulia

 • 2

  acha kuuma au kuwa na maumivu.

  ‘Kidonda changu sasa kimenyamaa kabisa’
  tulia

Matamshi

nyamaa

/ɲama:/