Ufafanuzi wa nyambulisha katika Kiswahili

nyambulisha

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta kitu, agh. mpira, ili kiongezeke kwa ukubwa au urefu.

Matamshi

nyambulisha

/ɲambuli∫a/