Ufafanuzi wa nyangarika katika Kiswahili

nyangarika

nomino

  • 1

    kitu kisichokuwa na maana au thamani.

    dubwana, dude

Matamshi

nyangarika

/…≤angarika/