Ufafanuzi wa nyangumi katika Kiswahili

nyangumi

nomino

  • 1

    mnyama mkubwa wa baharini anayenyonyesha mwenye umbo kama la samaki na, agh. huwindwa kwa sababu ana mafuta mengi sana.

Matamshi

nyangumi

/…≤angumi/