Ufafanuzi wa nyanyasa katika Kiswahili

nyanyasa

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mtu vitendo vya dharau na kumfanya kuwa si mtu; fanyia mtu mambo ya uonevu.

    onea, dhalilisha, dhili

Matamshi

nyanyasa

/ɲaɲasa/