Ufafanuzi wa nyanyia katika Kiswahili

nyanyia

kitenzi elekezi

  • 1

    pata kitu kwa hila na werevu.

Matamshi

nyanyia

/ɲaɲija/