Ufafanuzi wa nyapa katika Kiswahili

nyapa

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda polepole bila ya kusikika.

    nyata, nyemelea, chanyatia

Matamshi

nyapa

/…≤apa/