Ufafanuzi wa nyauka katika Kiswahili

nyauka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fifia kwa sababu ya joto au ukame.

    kauka, zingia, nyaa

Matamshi

nyauka

/ɲawuka/