Ufafanuzi msingi wa nyenga katika Kiswahili

: nyenga1nyenga2

nyenga1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  bembeleza kwa maneno matamu.

  ghilibu, laghai, denda, rubuni, hadaa

 • 2

  dhulumu mtu kwa kumpunguzia kiasi anachostahiki kupata.

  punja

Matamshi

nyenga

/ɲɛnga/

Ufafanuzi msingi wa nyenga katika Kiswahili

: nyenga1nyenga2

nyenga2

nominoPlural nyenga

 • 1

  samaki asiye na magamba, mwenye rangi ya kahawia au nyeusi yenye mabatobato ya manjano, kijivu au buluu, umbo lake ni la mviringo na bapa kama taa, kichwa chake kipo ndani ya duara ya kiwiliwili chake, na mkia wake ni mrefu mwembamba wenye mwiba.

Matamshi

nyenga

/ɲɛnga/