Ufafanuzi wa nyenje katika Kiswahili

nyenje

nominoPlural nyenje

  • 1

    mdudu anayefanana na panzi na anayetoa sauti kali sana, hasa wakati wa usiku.

    chenene

Matamshi

nyenje

/ɲɛnʄɛ/