Ufafanuzi wa nyenyere katika Kiswahili

nyenyere

nominoPlural nyenyere

  • 1

    mdudu mdogo mweusi na mwenye sura na umbo la siafu.

    sisimizi

Matamshi

nyenyere

/ɲɛɲɛrɛ/