Ufafanuzi wa nyenzo katika Kiswahili

nyenzo

nomino

  • 1

    vifaa vya kufanyia shughuli fulani.

    ‘Nishati ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya binadamu’

Matamshi

nyenzo

/ɲɛnzɔ/