Ufafanuzi wa nyerereza katika Kiswahili

nyerereza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya matendo kwa kuficha ili kudanganya watu.

  • 2

    badili sura ya kitu kwa kukipaka rangi au kwa namna nyingine ili kisitambulikane.

Matamshi

nyerereza

/ɲɛrɛrɛza/