Ufafanuzi wa nyesa katika Kiswahili

nyesa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

    kuwa majimaji; kuwa na unyevu.

    ‘Ardhi hii yanyesa’

Matamshi

nyesa

/ɲɛsa/