Ufafanuzi wa nyima katika Kiswahili

nyima

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    kataa kumpa mtu kitu.

    hini, kataa

Matamshi

nyima

/ɲima/