Ufafanuzi wa nyinyirika katika Kiswahili

nyinyirika, nyenyereka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ng’aa k.v. kitu kilichopakwa mafuta.

    nang’anika

Matamshi

nyinyirika

/ɲiɲirika/