Ufafanuzi wa nyiririka katika Kiswahili

nyiririka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pita kwa utaratibu au kwa mtelezo k.v. afanyavyo nyoka anapopita nyasini au maji ya mto yanavyotiririka.

    teleza

Matamshi

nyiririka

/ɲiririka/