Ufafanuzi wa nyong’onyea katika Kiswahili

nyong’onyea

kitenzi sielekezi~ka, ~sha

  • 1

    onyesha dalili za kudhoofu mwili kwa sababu ya k.v. kuchoka au kuumwa.

    choka

  • 2

    kosa raha; kuwa na mawazo mengi.

Matamshi

nyong’onyea

/ɲɔŋɔɲɛja/