Ufafanuzi msingi wa nyongo katika Kiswahili

: nyongo1nyongo2

nyongo1

nominoPlural nyongo

  • 1

    kiowevu kichungu chenye kutengenezwa na ini na hutumika mwilini kuyeyushia chakula tumboni.

Matamshi

nyongo

/ɲɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa nyongo katika Kiswahili

: nyongo1nyongo2

nyongo2

nominoPlural nyongo

  • 1

    maji ya bahari yanayokusanywa kwenye bwawa dogo pwani, yanayokaushwa na jua ili kupata chumvi.

  • 2

    maji ya chumvi.

Matamshi

nyongo

/ɲɔngɔ/