Ufafanuzi wa nyongoa katika Kiswahili

nyongoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    nyoosha kilichonyongeka au kilichopetwa.

Matamshi

nyongoa

/ɲɔngɔwa/