Ufafanuzi wa nyonyora katika Kiswahili

nyonyora

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    chukua kitu kidogo, agh. kwa wizi.

    ‘Nimemtuma mtoto mkate na ameunyonyora’

Matamshi

nyonyora

/ɲɔɲɔra/