Ufafanuzi wa nyorora katika Kiswahili

nyorora

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa ndefu, nyembamba na yenye kulegea.

Matamshi

nyorora

/ɲɔrɔra/