Ufafanuzi msingi wa nyuma katika Kiswahili

: nyuma1nyuma2

nyuma1

nominoPlural nyuma

  • 1

    sehemu ya mgongoni au kisogoni mwa kiumbe anayekwenda kwa miguu miwili.

  • 2

    sehemu ya mkiani ya k.v. mnyama, ndege au mdudu.

Matamshi

nyuma

/ɲuma/

Ufafanuzi msingi wa nyuma katika Kiswahili

: nyuma1nyuma2

nyuma2

nominoPlural nyuma

  • 1

    tamko linalotumiwa kuelezea hali au wakati uliopita.

Matamshi

nyuma

/ɲuma/