Ufafanuzi wa Nyumba ya mnandi haijui mtu ila mnandi mwenyewe katika Kiswahili

Nyumba ya mnandi haijui mtu ila mnandi mwenyewe

msemo

  • 1

    shida ya mtu anaijua zaidi mwenyewe.