Ufafanuzi wa nyumbandogo katika Kiswahili

nyumbandogo

nomino

  • 1

    mwanamke mwenye uhusiano wa kimapenzi na mume wa mtu mwingine.

    hawara

Matamshi

nyumbandogo

/ɲumbandɔgɔ/