Ufafanuzi msingi wa nyumbu katika Kiswahili

: nyumbu1nyumbu2

nyumbu1

nominoPlural nyumbu

  • 1

    mnyama mkubwa aliyezaliwa kutokana na mchanganyiko wa punda na farasi, na ambaye hawezi kuzaa mwenyewe.

    baghala

Matamshi

nyumbu

/ɲumbu/

Ufafanuzi msingi wa nyumbu katika Kiswahili

: nyumbu1nyumbu2

nyumbu2

nominoPlural nyumbu

  • 1

    mnyama wa porini kama ng’ombe mwenye miguu ya mbele iliyo mirefu zaidi kuliko ya nyuma, mkia kama wa farasi, manyoya mengi shingoni na kichwa kikubwa chenye pembe.

Matamshi

nyumbu

/ɲumbu/