Ufafanuzi wa nyundo katika Kiswahili

nyundo

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kwa kugongomelea katika shughuli za k.v. ujenzi, useremala au ufundi.

Matamshi

nyundo

/ɲundɔ/