Ufafanuzi wa nyunyiza katika Kiswahili

nyunyiza

kitenzi elekezi

  • 1

    mwagia kitu cha ungaunga au majimaji kidogokidogo ili kisambae.

Matamshi

nyunyiza

/ɲuŋiza/