Ufafanuzi wa nyunyizia katika Kiswahili

nyunyizia

kitenzi elekezi

  • 1

    rushia kitu cha majimaji au cha ungaunga kidogokidogo juu ya kitu kingine.

Matamshi

nyunyizia

/ɲuɲizija/