Ufafanuzi wa nyunyu katika Kiswahili

nyunyu

nomino

  • 1

    tone la maji, agh. ya mvua.

Matamshi

nyunyu

/ɲuɲu/