Ufafanuzi wa nyuzijoto katika Kiswahili

nyuzijoto

nominoPlural nyuzijoto

  • 1

    kiasi cha joto kama kinavyoonyeshwa kwa kutumia kipimajoto.

Matamshi

nyuzijoto

/ɲuziʄɔtɔ/