Ufafanuzi wa nywea katika Kiswahili

nywea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

 • 1

  kunjamana na kauka kwa kukosa maji.

  sinyaa

 • 2

  jikunyata kwa hofu au wasiwasi.

 • 3

  kuwa katika hali ya kukosa nguvu.

  ‘Mche umenywea’
  ‘Fulani amenywea’
  dhii, dhoofu, fifia

 • 4

  pwea, pojaa

Matamshi

nywea

/ɲwɛja/