Ufafanuzi wa nzaiko katika Kiswahili

nzaiko

nomino

  • 1

    dawa ya unga inayotumiwa na kuaminiwa na baadhi ya watu kwamba inaweza kumpoteza mtu fahamu.

Matamshi

nzaiko

/nzaIkÉ”/