Ufafanuzi wa nzige katika Kiswahili

nzige

nomino

  • 1

    mdudu aina ya panzi lakini mkubwa na anayesafiri masafa marefu kwa makundi na huharibu mimea.

Matamshi

nzige

/nzigÉ›/