Ufafanuzi wa oama katika Kiswahili

oama

kitenzi sielekezi

  • 1

    tapakazika maji kila sehemu.

    ‘Nguo imeoama’
    lowa

Matamshi

oama

/ɔwama/