Ufafanuzi wa ofisa katika Kiswahili

ofisa, afisa

nominoPlural mofisa

  • 1

    mtu mwenye cheo katika ofisi na, agh. anayeshughulika na mambo ya utawala.

  • 2

    mtu mwenye madaraka katika ofisi.

Asili

Kng

Matamshi

ofisa

/ɔfisa/